Wiki Hii kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki
BBC ni shirika kubwa sana la habari duniani ambalo limeenea duniani kote limeanzishwa miaka mingi iliyopita lina uzoefu wa kutosha katika masuala ya habari kwa jamii, kwenye kituo hichi cha habari kuna matangazo yanayorushwa ktk lugha ya kiswahili na kuna vipindi mbalimbali ambavyo pia vinaruka ktk lugha ya kiswahili moja ya kipindi maarufu sana cha matukio ya wiki nzima kinaitwa wikihii.
Shirika la habari BBC pia wana vipindi vingine vinavyopendwa sana duniani na haswaa hapa kwetu afrika mashariki kutokana na lugha inayotumika kuwa ni swahili kwa mfano vipindi hivyo ni kama vile
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Amka na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
wikihii media tunakupa taarifa zote zilizojiri wiki nzima kuhusu elimu, afya, biashara, ujasiriamali, siasa, uchumi na burudani matukio yote haya utayapata online kupitia official website yetu wikihii.com
